BBC 1593太阳集团城一切网址, Swahili - Habari

Oktoba 28 Watanzania wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaowapatia viongozi kwa miaka mitano ijayo.

Benjamin William Mkapa: Matukio kwa picha

Mkapa aliingia madarakani mwaka 1995 baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, baada ya kuhudumu serikalini kwa miongo mitatu.

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV, 23,29

Ijumaa 31.07.2020 na Salim Kikeke

 • Wiki Hii, 07:00, 1 Agosti 2020

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Wiki Hii, 06:00, 1 Agosti 2020

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Dira Ya Dunia, 18:29, 31 Julai 2020

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • MBELE Amka Na BBC, 05:59, 3 Agosti 2020

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Matumizi ya Lugha

  Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

 • Sauti, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, 6,57

  Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.